Skip Global Navigation to Main Content
Search
 
 •  
 • Photo

 • #

 • Photo

 • Photo

 • Photo

Sababu kuu za kumzuia gaidi mnazo wenyewe.

Ugaidi unaua wasio na hatia kila mahali. Kwa kutoa taarifa inayozuia kitendo kiovu cha gaidi, unaokoa maisha, ulinda familia, na unadumisha amani.

 

Marekani inatoa zawadi kwa taarifa itakayopelekea kukamatwa kwa watu wanaojihusisha na ugaidi. Kama una taarifa inayoweza kusaidia, tafadhali, toa kidokezo sasa.

 

Wasilisha habari

Skip Breadcrumb Navigation

Habazi mpya za sasa

 • Picha ya Joel Wesley Shrum

  Mauaji ya Joel Wesley Shrum

  Taizz, Yemen | Machi 18, 2012

  Machi 18, 2012, Shrum, mwenye umri wa miaka 29, alipigwa risasi na kuuawa akiwa njiani kuelekea kazini Taizz, Yemen, na mwenye bunduki aliyekuwa akiendeshwa nyuma ya pikipiki iliyosimama kando ya gari lake. Wakati wa kifo chake, Shrum alifanya kazi katika kituo cha maendeleo na Mafunzo cha kimataifa kama msimamizi na mwalimu wa Kiingereza. Alikuwa akiishi Yemen na mke wake na watoto wadogo wawili. Siku chache baada ya shambulio hilo, shirika la kigaidi la al-Qaida katika Peninsula ya Arabia (AQAP) walidai kuhusika na mauaji hayo. (Habari yote (habari kamil) »)

 • Picha ya Abu Du’a

  Abu Bakr al-Baghdadi

  Mpaka Tuzo ya Dola milioni 25

  Abu Bakr al-Baghdadi, anayejulikana pia kama Abu Du'a, pia anajulikana kama Ibrahim 'Awwad Ibrahim Ali al-Badri, ni kiongozi mwandamizi wa kundi la kigaidi la Islamic State of Iraq na Levant (ISIL).Tishio ambalo al-Baghdadi analeta limeongezeka kwa kiasi kikubwa tangu Idara ya nchi ilipotoa ofa ya awali ya dola 10 kwa ajili ya kutoa taarifa za kupelekea eneo lake, kukamatwa, au kushitakiwa ilitangazwa mwaka 2011. Katika Juni 2014, ISIL (pia inajulikana kama Da'esh) walichukua umiliki wa sehemu ya Syria na Iraq, alitangaza kuanzishwa kwa ukhalifa wa Kiislamu, na kumpa jina al-Baghdadi kama Khalifa. Katika miaka ya karibuni, ISIL imepata uaminifu wa makundi wanajihadi na watu wenye siasa kali duniani kote, na iliongoza mashambulizi nchini Marekani. (Habari yote (habari kamil) »)

 • Gulmurod Khalimov

  Gulmurod Khalimov

  Mpaka Dola milioni 3

  Aliyekuwa kanali wa kikosi cha ukomandoo cha Tajikistan, kamanda wa polisi, na snaipa wa jeshi Gulmurod Khalimov ni mwanachama wa Dola ya Kiislamu ya Iraq na Levant (ISIL) na mshawishi wa wanachama wapya kujiunga. Yeye alikuwa ni kamanda wa wa kikosi maalumu cha kijeshi katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tajikistan. Khalimov aliotokea kwenye video ya kipropaganda kuthibitisha kwamba anapigana tokea ISIL na akatoa wito wa wazi wa vitendo vya kihalifu dhidi ya Wamarekani. (Habari yote (habari kamil) »)

 • Picha ya Abu-Muhammad al-Shimali

  Abu-Muhammad al-Shimali

  Mpaka Dola milioni 5

  Mwandamizi wa juu wa serikali ya Kiislamu ya Iraq na Levant (ISIL) Mkuu wa mpaka Tirad al-Jarba, anayejulikana zaidi kama Abu-Muhammad al-Shimali, amekua akijihusisha na ISIL, zamani ikijulikana kama al-Qaeda nchini Iraq, tangu mwaka 2005. Sasa anatumika kama ofisa muhimu katika kamati ya Uhamiaji na Vifaa (usafirishaji), na anahusika na ufanikishaji wa usafiri wa (Habari yote (habari kamil) »)

 • Picha ya Mambo ya Kale

  Usafirishaji wa mafuta na mambo ya kale kulinufaisha Taifa la Kiislamu la Iraq na Levant (ISIL)

  Mpango wa Tuzo za Haki unatoa zawadi nono hadi kufikia dola milioni 5 kwa taarifa inayopelekea uzuizi mkubwa wa mauzo na/au biashara ya mafuta na mabo ya kale ufanywao na, kwa au kwa niaba kunufaisha kikundi cha kigaidi cha Dola ya Kiislam ya Iraq na Levant (ISIL), ambalo pia hufaamika kwa kifupi chake kwa Kiarabu kama DAESH. (Habari yote (habari kamil) »)

HABARI WA MAFANIKIO

ALIYEPATIKANA NA HATIA

ALIYEPATIKANA NA HATIA

Taarifa inasaidia kutiwa nguvuni kwa Ramzi Ahmed Yousef


Ramzi Ahmed Yousef alikuwa mpangaji mkuu wa ugaidi aliyehusika na ulipuaji bomu wa Februari 1993 kwenye jengo la World Trade Center mjini New York ambapo watu sita waliuawa na wengine zaidi ya elfu moja walijeruhiwa. Yousef na wasaidizi wake waliendesha gari lililojaa milipuko katika eneo la chini kwenye jengo la World Trade Center. Katika muda wa saa chache za ulipuaji bomu, Yousef aliondoka na ndege kuelekea Pakistan... (Habari yote (habari kamili) »)

Unganisha


twitter   facebook   youtube   rss