Skip Navigation.

Kutafuta taarifa Dhidi ya ugaidi wa kimataifa

Tafutwa
Anas al-Liby
Mpaka Tuzo ya Dola milioni 5


Tarehe ya Kuzaliwa : Machi 30, 1964 au Mei 15, 1964
Sehemu ya kuzaliwa : Tripoli, Libyya
Urefu : futi 5 inchi 10 - futi 6 inchi 2 (sentimeta 178 - 188)
Umbile : Wastani
Nywele : Mweusi
Macho : Mweusi
Jinsia : Mwanamme
Sifa : Kovu upande wa kushoto wa uso. Kwa kawaida ana ndevu.
Uraia : Raia wa Libya
Lugha : Kiarabu, Kiingereza
Majina bandia : Anas al-Sabai, Anas al-Libi, Nazih al-Raghie, Nazih Abdul Hamed al-Raghie

Anas al-Liby ameshtakiwa kwa jukumu lake la kuhusika na ulipuaji mabomu Agosti 7 1998 kwenye balozi za Marekani huko Dar es Salaam, Tanzania na Nairobi, Kenya.

Mtu aliyetajwa hapo juu ameshtakiwa kwa makosa yafuatayo:

Njama za kuua raia wa Marekani, kufanya mauaji, kuharibu majengo na mali za Marekani, na kuharibu vituo vya huduma za ulinzi wa Marekani.

Ayman al-Zawahiri, Fazul Abdullah Mohammed, Fahid Mohammed Ally Msalam, Sheikh Ahmed Salim Swedan, Abdullah Ahmed Abdullah, Saif al-Adel, Anas al-Liby, Ahmed Mohamed Hamed Ali,na Usama bin Ladin ambaye sasa ni marehemu na wengine tayari wako chini ya ulinzi na wanaaminika kuhusika na ulipuaji mabomu kwenye Ubalozi za Marekani nchini Tanzania na Kenya hapo Agosti 7, 1998. Ulipuaji balozi ulisababisha vifo vya raia 224 na kujeruhi wengine elfu tano. Magaidi hawa wanaaminika ni wanachama wa Al-Qaida, mtandao wa kimataifa wa ugaidi unaoongozwa na Usama bin Ladin.