Vitendo vya kigaidi
1980 - 1989
- 6.2">Kupigwa bomu kwa kambi ya jeshi Kikosi cha maji - Lebanon - Oktoba 23, 1983
- Utekaji nyara na Mauaji - Lebanon - 1985 mpaka 1989
- Ndege ya TWA 847 ilitekwa - Beirut, Lebanon - Juni 13, 1985
- Ndege ya TWA 840 ilipigwa bomu - Ugiriki - Aprili 2, 1986
- Pan Am Flight 73 Hijacking – Karachi, Pakistan – September 5, 1986
- Klabu ya USO ilipigwa bomu - Naples, Italy - Aprili 14, 1988
- Ndege ya Pan Am 103 ilipigwa bomu - Lockerbie, Scotland - Desemba 21, 1988
- Ghasia za kupinga mashauriano ya Amani ya Mashariki ya kuanzia 1993 hadi sasa
- Kupigwa bomu kwa World Trade Center - mjini New York - Februali 26, 1993
- Mauaji katika ubalozi - Karachi, Pakistan - Machi 8, 1995
- Kupigwa bomu kwa Khobar Towers - Dhahran, Saudi Arabia - Juni 25, 1996
- Kadhia ya barua zilizokuwa na bomu - Desemba 1996 mpaka Januari 1997
- Mauaji katika kituo cha Petroli cha Union Texas - Karachi, Pakistan - Novemba 12, 1997
- Mabomu kwenye balozi za Marekani - Kenya na Tanzania - Agosti 7. 1998
- Kushambuliwa kwa watalii - Hifadhi ya Bwindi, Uganda - Machi 1, 1999
- Shambulizi kwenye meli ya kijeshi USS Cole - Aden, Yemen - Oktoba 12, 2000
- Ghasia za kupinga mashauriano ya Amani ya Mashariki ya kuanzia 1993 hadi sasa
- Mashambulizi kwenye World Trade Center na Pentagon - Septemba 11, 2001
- Kutekwa nyara na kuuawa kwa Daniel Pearl - Karachi, Pakistan - Januari 23, 2002
- Kulipuliwa mabomu kwa raia wa Pakistan - Karachi, Pakistan - Juni 14, 2002
- Kupigwa bomu kwa Chuo Kikuu cha Hebrew - Jerusalem - Julai 31, 2002
- Kuuawa na kutekwa nyara kwa raia wa Marekani - Colombia - Februari 2003
- Kupigwa mabomu kwa eneo la makazi ya watu - Riyadh, Saudi Arabia - Mei12, 2003
- Kupigwa bomu kwa msafara wa kidiplomasia wa Marekani - Beit Hanoun, Ukanda wa Gaza - Oktoba 15, 2003
- Shambulizi kwenye Ubalozi wa Marekani - Athens,Ugiriki - Januari 12, 2007
- Murders of John Granville and Abdelrahman Abbas Rahama – Khartoum, Sudan – January 1, 2008

