Skip Navigation.

Kutafuta Habari Dhidi ya ugaidi wa kimataifa

Anayetafutwa
Umar Patek
Mpaka Tuzo ya Dola milioni 1


Tarehe ya Kuzaliwa : 1970
Urefu : Urefu futi 5 inchi 3 (sentimeta 166)
Uzito : uzito paundi 130 - 135 ( kilo 60)
Nywele : Kahawia
Macho : Kahawia
Jinsia : Mwanamme
Rangi : Kahawia
Majina Mengine : Umar Kecil, Umar (Arab), Pa'tek, Pak Taek, Abu Syekh, Zacky

Patek, mwanachama wa Jemaah Islamiyah, anaaminika kuwa ametumika kama msaidizi wa mratibu aliyesimamia mashambulio ya mabomu ya mwaka 2002 huko Bali, Indonesia, ambayo yaliua watu 202, wakiwemo raia saba wa Marekani. Patek mwenye umri wa miaka 35 ni Mjava mwenye asili ya kiarabu.